Ads Top

SOPHIA SIMBA NA ASHA BAKARI KHAMIS WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZI WA UWT

   WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia baada ya kutangazwa jina la Mwenyekiti mpya wa Umoja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma  usiku wa kuakia leo
   MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua Mwenyekiti Mpya Sophia Simba
   MWENYEKITI wa UWT Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Mwenyekiti Mhe.Asha Bakari Khamis, wakiwa na furaha baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu wa umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mpiango dodoma
  VIONGOZI wa meza kuu wakishangilia baada ya kuitolewa matokeo ya kura za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWT, baada ya uchaguzi kufanyika kuwachagua Viongozi hao.
  Mwenyekiti mpya wa UWT Sophia Simba akipongezwa na mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi wa UWT  usiku wa kuamkia leo

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.