Ads Top

PRODYUZA ALIYEPIGA PICHA ZA UTUPU NA WAREMBO, ATIWA MBARONI

Manaiki Sanga akiingizwa kwenye gari baada ya kukamatwa na wanausalama.
  ...Manaiki akiwa chini ya ulinzi.…

Manaiki Sanga akiingizwa kwenye gari baada ya kukamatwa na wanausalama.
...Manaiki akiwa chini ya ulinzi.
...Safari ya kuelekea kituoni.
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni Prodyuza mkali Bongo, Manaiki Sanga, anayetuhumiwa
kwa skendo ya aibu kufuatia picha zake chafu akiwa na wasichana wanaodaiwa ni wasanii wa filamu kusambaa mitandaoni hivi karibuni.
Msanii huyo alikamatwa siku chache baada ya kuvuja kwa picha hizo za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake hao tofauti tofauti.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.