Ads Top

Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo.Picha na-IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.