Ads Top

SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA ALAT ZAENDELEA MJINI DODOMA LEO

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya  akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo mjini Dodoma  katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya  umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.

 Meya wa Jiji la Dar es salaaam Dkt. Didas Massaburi akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya  umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya. 
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma  katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu  Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 aadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma kabla ya   semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya  akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya  kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.

 Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 
 Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John Shibuda(katikati)  leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James  Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.