Mabasi Mawili Sabena na AM Yagongana Uso kwa Uso Mlogolo-Sikonge
Mashuhuda wa ajali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria kati ya Sabena ya Mbeya-Tabora na AM Dreamline ya Mwanza-Mpanda.
Baadhi ya miili ya marehemu.
Basi
la Sabena la Mbeya kwenda Mwanza na AM Dreamline ya Mwanza-Mpanda. Ajali
hiyo imetokea maeneo ya Mlogolo takribani kilometa 4 to wilaya ya
Sikonge.
Mashuhuda
wanadai takribani watu kumi au zaidi wamepoteza maisha wakiwemo
madereva. Maelezo
baadhi ya mashuhuda wanadai dereva mmoja ameonekana kiwiliwili pekee na
juhudi za kukisaka kichwa cha marehemu zinaendelea. Wameongeza zaidi
kuwa yawezekana hata madereva hao walikuwa ni Day-worker (Daiwaka) kama
ilivyozoeleka.
Wakati
mtandao huu ukipokea taarifa ni kuwa hali si nzuri eneo la tukio na
uokoaji wa majeruhi zaidi ya 30 unaendelea na kuwapeleka katika
hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge.
Inakadiriwa kuwa karibu robo tatu ya basi la sabena imeharibiwa vibaya sana.
Inakadiriwa kuwa karibu robo tatu ya basi la sabena imeharibiwa vibaya sana.
No comments: