Ads Top

MKUTANO MKUU WA BARAZA LA VIJANA LA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEA (CHADEMA)

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda wake,  John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiimba nyimbo za kuhamasisha chama.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiimba nyimbo za kuhamasisha chama.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.