Ads Top

Picha kutoka Bunge Maalum la katiba Bungeni mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Bunge mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba toka Kundi la 201, Mhe. Askofu Amos Muhagachi akichangia mada wakati wa mjadala ndani ya Bunge  mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ally Kessy (kulia) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Edward Lowassa mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kushoto) akiteta jambo na mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kushoto) akijadili jambo na mjumbe wa Bunge hilo, Mhe. James Mapalala  mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzake wa bunge hilo, Mhe. John Chiligati mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Abdallah Kigoda (kushoto) akijadiliana na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Jenista Mhagama mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda (kulia) akiteta jambo na mjumbe mwenzie, Mhe. Jenista Mhagama
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mohamed Aboud (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Ally Kessy  mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia kwa makini mjadala ndani ya Bunge hilo  mjini Dodoma

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.