Ads Top

Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aelekea Nchini Marekani

  Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014.Picha na IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.