Ads Top

Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Mpanda Mjini

 Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM, ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.
 Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake, kayika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, juzi.

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akikabidhi kadi ya chama hicho kwa aliyekuwa kiongozi wa CCM katika Ktaa wa Makanyagio mjini Mpanda, Boniphace Futakamba baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mwenyekiti  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Mpanda, wakati akiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.