Ads Top

UKAWA WALIPOSAINI MAKUBALIANO MAPYA,NI KUACHIANA KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Baadhi ya viongozi wa UKAWA, wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam, Jumanne Nov 4, 2014
 Sehemu yamakubaliano ya UKAWA yaliyotiwa saini

Kutoka kushoto, Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, wakisaini makubaliano hayo ya UKAWA
  Katibu Mkuu wa UKAWA, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, akizungumza kwa kutumia nyaraka
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza kuhusu ushirikiano huo


Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, (Kulia), akizungumza baada ya kutiliana saini makubaliano hayo
 
Viongozi wa vuguvugu la Katiba ya Wananchi, (UKAWA), wakionyesha hati ya makubaliano baada ya kutia saini  Jumanne Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam. Chini ya makubaliano hayo, yaliyohusisha vyama vinne, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo, UKAWA utamsimamisha mgombea anayekubalika kwenye eneo husika bila ya kujali chama. Hata hivyo mwakilishi wa NLD hakuwepo na ikaelezwa kuwa atasaini baadaye

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.