Mbunge wa Maswa Magharibi-Chadema John Shibuda Audhuria Mkutano wa Hadhara Wa CCM kwenye kiwanja cha Mwahnuzi wilayani Meatu Chini ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye

Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye ,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja
na Mbunge wa Maswa Ndugu John Shibuda, Shibuda aliieleza hadhira kuwa
Kinana ni rafiki yake mkubwa na wasiku nyingi wakati Nape alielezewa
kama mtoto wake kwani yeye na marehemu Nnauye walikuwa marafiki wa
kushibana.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mbunge
wa Maswa Magharibi John Shibuda baada ya kukutana kwenye mkutano wa
hadhara wa CCM uliofanyika kwenye kiwanja cha Mwahnuzi wilayani Meatu.
No comments: