Ads Top

TASWIRA YA PICHA ZA MWILI WA MSANII ALBERT MANGWEA BAADA YA KUWASIRI NCHINI

  Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.
Wadau mbalimbali
 Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.
Baadhi ya mashabiki na wasanii waliojitokeza kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya. R.I.P Ngwea.
 Ilikuwa ngumu kuzuia hisia...
 Sehemu ya Wananchi na wapenzi wa Mwanamuziki Marehemu Albert Mangwea wakisukuma gari lilobeba mwili ake muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es salaam ukitokea afrika ya kusini
 Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya habari uwanjani hapa.
 Prof. Jay nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.
Wadau kibao wapo uwanjani hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea
picha na mdau Mbwana Ramadhani 

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.