MAMA LULU APAGAWA
Lucresia Kalugila na mwanaye Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakiondoka eneo la mahakama baada ya dhamana.
Tukio hilo lilitokea juzi Jumatatu katika Mahakama Kuu, Dar wakati nyota
huyo alipokuwa akipokea majibu ya ombi la dhamana. Mara baada ya
Mahakama kutamka kuwa dhamana ilikuwa wazi, mama Lulu alichanganyikiwa
kwa furaha na kutimka bila kumuaga Dk. Cheni.
“Mama yaani umenisahau mara hii umeondoka hata bila kuniaga?” alihoji Dk. Cheni ambapo mama huyo alimuomba msamaha kwa kuwa haikuwa dhamira yake.
“Mama yaani umenisahau mara hii umeondoka hata bila kuniaga?” alihoji Dk. Cheni ambapo mama huyo alimuomba msamaha kwa kuwa haikuwa dhamira yake.
No comments: