Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema,Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya Watoa Maoni Yao Juu ya Katiba Mpya
Jumapili,Januari 27,2013:Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Jaji Fredrick Werema akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya
alipokutana na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za
Tume jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph
Warioba.
Jumapili,Januari 27, 2013:Mkuu wa Majeshi
Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya
katika mkutano na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi
za Tume jana jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji
Joseph Warioba na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu Augustino
Ramadhani.
Jumapili, Januari 27, 2013:Mwanasheria Mkuu
Jaji Fredrick Werema (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Bw. Casmir Kyuki (kushoto) mara baada ya
kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume.Kulia ni Mjumbe wa
Tume Bw. Simai Mohammed.Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
No comments: