RAIS JAKAYA KIKWETE AONGEA NA WANA-UVCCM WA VYUO VIKUU MKOANI TABORA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM wa vyuoni Tabora.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu mkoani Tabora
waliomtembelea Ikulu ndogo mkoani humo usiku wa kuamkia leo. Pamoja na
mambo mengine Rais Kikwete aliwataka vijana hao kuzingatia masomo kwa
nguvu zao zote, akisisitiza kwamba elimu ni ufunguo wa maisha hivyo
wasome kwa bidii ili nchi ipate wasomi waliobobea katika kila nyanja
katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wana-UVCCM vyuoni Tabora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makada hao wa UVCCCM.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Mhe, Fatma Abubakar Mwassa (mwenye kitenge, kati) na Mkuu wa Wilaya ya
Tabora mjini Mhe Suleiman Kumchaya (kulia) wakipozi na viongozi wa
wanafunzi wa UVCCM vyuoni.
(PICHA NA IKULU)





Tanzanian Shilling Converter
No comments: