Rais Jakaya Kikwete Apokelewa Rasmi Nchini Ufaransa na Rais Francois Hollande katika Ikulu ya nchi Maarufu kama Champs L'Elyesee
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na mwenyeji
wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa baada ya mazungumzo yao rasmi
katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L'Elyesee (hutamkwa chanz
elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais
Francois Hollande wa Ufaransa katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama
Champs L'Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na mwenyeji
wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa baada ya mazungumzo yao rasmi
katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L'Elyesee (hutamkwa chanz
elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi
aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa leo Januari 21, 2013
ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano
nchini hum.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiwa katika maongezi
rasmi na mwenyeji wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa na ujumbe
wake katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L'Elyesee (hutamkwa
chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Francois
Hollande wa Ufaransa wakiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yao
rasmi katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L'Elyesee (hutamkwa
chanz elezee) jijini Paris leo Januari 21, 2013
Gari iliyomchukua Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiondoka Ikulu ya
nchi hiyo maarufu kama Champs L'Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini
Paris leo Januari 21, 2013.Picha na IKULU
No comments: