Rais Jakaya Kikwete Azindua Afungua Rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu
Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo
Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali
ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo
Januari 16, 2013
Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati akisoma Hotuba yake ya ufunguzi wa Jengo hilo.Picha na IKULU

Tanzanian Shilling Converter
No comments: