Habari zilizotufikia hivi
punde ni kwamba Jeng ola PPF TOWER lililopo mtaa wa Ohio jijini Dar es
Salaam limepata hitilafu ya umeme na kusababisha moto mkubwa kwenye
mitambo ya mawasiliano iliyopo juu kabisa ya jengo hilo kutekekea kwa
moto
Habari Zaidi Baadae>>>
No comments: