Ads Top

SIMBA IMESHINDWA KUTAMBA KATIKA DIMBA RA NYUMBANI BAADA YA KUPEWA KICHAPO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjC44d0kPi1qi2ZDUEc-MXdmO1UWgHhMz6QMFCPipOW-pPF8sLC6FABO_qLw_47bAIH4MBjpRDss4GSeAPdAzcHV3OiexuQ7L20W4Xg3f9mS5xEBk_DOg2pr1cLeyCqPe3m7hyUyU7i2WQ/s1600/LOBOLO+GOLI+(1).jpg 
Ni mshabulia wa timu ya Libolo ya Angola Joao Martins akiluka juu kupiga mpira wa kichwa na kuiandikia timu yake bao la kwanza mnamo dakika ya 24 hadi kipenga cha mwisho kinapulizwa FC Libolo ndio imetoka kifua mbele kwa kuinyuka timu ya Simba Kutoka Dar es salaam Tanzania mchezo wa maludiano unatalajiwa kuchezwa baada ya wiki mbili kupita nchini Angola

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.