MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA
Mashabiki na wanachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti
wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo jana akitokea India kwa matibabu..
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage,
akizungumza na wanachama na mashabiki timu
hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam,
mara baada ya Rage kuwasili jana akitokea nchini India kwa matibabu.
Tanzanian Shilling Converter
No comments: