Ads Top

LULU ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA (KINONDONI) KWENYE KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA


Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu
Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki....
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba
Shada la Maua likiwekwa kaburini
Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua
kwenye kaburi la mwanae
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba
mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba
makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,
R.I.P Steven Kanumba

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.