Ads Top

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma Limekamata Kobe Zaidi ya 70 Waliofungwa Kwenye Mifuko ya Salfet Kwa Ajili Ya Kusafirishwa Kinyume Cha Sheria.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari wanyama aina ya kobe zaidi ya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha kinyume cha sheria

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.