Ads Top

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule, ‘Profesa Jay’ ambaye anafunguka juu ya bifu kati ya Judith Wambura ‘Jide’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti wa Clouds Media, Ruge Mutahaba.

Profesa Jay
 Profesa Jay naye ametajwa katika sakata hilo kutokana na kushirikishwa katika wimbo wa Joto Hasira ambao wengi wameutafsiri kuwa na vijembe kwa Ruge.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.