TAZAMA MAMIA WALIVYO JITOKEZA KATIKA MAZISHA YA MAREHEMU ALBART MANGWEA MKOANI MOROGORO
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mangwea
Mwili wa Msanii mashuhuri Alber Mangwea ukiwasili
Mbunge wa Mbeya, mjini-Chadema Joseph Mbilinyi akitoa heshima za mwisho.
Rafiki wa Karibu wa Marehmu Mangwea M 2
The P akilia kwa uchungu wakati akitoa heshima za mwisho mbele ya mwili
wa marehemu albert mangwea
Waombolezaji wakishusha jeneza lililokuwa na
mwili wa msanii mahiri wa Hip Hop, marehemu Albert Mangwea, wakati wa mazishi
yake yaliyofanyika mjini Morogoro jana
Jeneza likishushwa kaburini.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akimfariji mama mzazi wa marehemu, Albert Mangwea.
Umati wa watu wakiwa nje ya Uwanja wa Jamhuri wakati wa kutoa heshima za mwisho.Picha Zote na Dande Francis
No comments: