Ads Top

Wananchi jijini Arusha wakikimbia baada ya polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya kutoka kwenye Uwanja wa Soweto jana

Wananchi jijini Arusha wakikimbia baada ya polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya kutoka kwenye Uwanja wa Soweto jijini humo. Wananchi hao walijikusanya kwa ajili ya kushiriki kuaga miili ya watu watatu waliouawa kwa bomu siku ya Jumamosi katika eneo hilo. 
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) pamoja na askari kutoka Chuo cha Mafunzo ya Polisi (CCP) Moshi wakiwa kwenye Uwanja wa Soweto, Arusha kuwadhibiti waombolezaji waliofika kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa watu watatu waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi iliyopita

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.