Ads Top

KUTOKA IKULU:Rais Barack Obama Apanda Mti Aina Ya Mpingo Katika Viwanja Vya IKULU Jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria leo Ikulu.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.