KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri
Mkuu , Mizengo Pinda akimwongoza Mfalme Muswati wa Swaziland
kutembelea abanda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho
ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini
Dar es salaam Julai 1, 2013.
Mfalme Muswati wa Swazilanda
(kulia) na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali
mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye
uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu




Tanzanian Shilling Converter
No comments: