Ads Top

Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera

 Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi
  Rais Jakaya Kikwete baada ya kutawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera akiwa na  kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
 Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
 Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama  (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera.  Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais Jakaya  Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera  waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya  mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.