WAZIRI WA UCHUKUZI DKT. HARRISON MWAKYEMBE AKABIDHI RASMI ITHIBATI YA KUENDESHA MAFUNZO YA WAHUDUMIAJI WA MIZIGO HATARISHI KATIKA SEKTA YA ANGA KWA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe, akikabidhi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa
Mizigo hatarishi kwa Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT),
Bw. Juma Fimbo leo asubuhi wakati wa sherehe maalum za kukabidhi
ithibati hiyo ziliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho. Wanaoshuhudia
ni Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa(wa kwanza
kushoto) na Mkuu Mwenyektii wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Ms.
Priscilla J. Chilipweli( wa pili kushoto).

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe, akikabidhi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa
Mizigo hatarishi kwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT,
Ms. Priscilla J. Chilipweli huku akishuhudiwa na Mkuu wa Chuo hicho
Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa(wa kwanza kushoto).

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe, akitoa hotuba yake kwa wahitimu na wageni waalikwa, hawapo
pichani wakati wa sherehe ya kukabidhi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo
ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT) leo asubuhi.

Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu),
akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk.
Zacharia Mganilwa(kulia) leo asubuhi kabla Waziri huyo hajakabidhi
Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika
viwanja vya NIT. Kushoto kwa Waziri wa Uchukuzi ni Mwenyektii wa
Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli.

Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (wa tatu kutoka kulia waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo Cha Taifa Cha
Usafirishaji(NIT), Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT Ms.
Priscilla J. Chilipweli(kulia kwa Waziri Mwakyembe), Mkuu wa Chuo hicho
Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto kwa Waziri Mwakyembe) na
wahitimu wa kozi ya kuhudumia mizigo hatarishi Bi. Dorah John (wa
kwanza kulia waliosimama) na Zuhura Adam (wa kwanza kushoto waliosimama)
wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya
wahudumiaji wa Mizigo hatarishi pamoja na kutunuku vyeti kwa wahitimu
wa kozi hiyo. Wa kwanza kulia waliokaa ni Mkurugenzi wa Huduma za
Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi, bw. Peter Lupatu.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-UCHUKUZI
No comments: