Ads Top

Kutoka IKULU: Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi Mkubwa wa Maji katika Kijiji Cha Njopeka Wilayni Mkuranga,Mkoa wa Pwani

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan(JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Njopeka Wilayni Mkuranga,Mkoa wa Pwani jana.Mradi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzani na serikali ya Japan.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.