Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa na Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa juzi

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza la Katiba

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa na Mwenyekiti wa Chadema Mh
Freeman Mbowe wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza
la Vyama vya Siasa juzi

Kutoka kushoto Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe, Katibu mkuu wa
Chadema Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Sheria na Katiba Dr Asharose Migiro
na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mh Seif Shariff Hamad

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Mh Tundu Lissu akipeana mkono na Rais Jakaya Kikwete.
No comments: