MAKAMU WA RAIS DKT GHARIB BILAL AFUNGUA RASMI KONGAMANO LA TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIKA MPYA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kongamano hilo wakiimba kwa pamoja wimbo wa taifa

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na
Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya
Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Bw. Ibrahim Lipumba akiwa katika kongamano hilo

Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Singida Magharibi Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na washiriki wa Kongamano hilo

Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.

Meza Kuu.......

Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya
kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea
Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya
dini na Asasi za kiraia.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akiagana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya
kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea
Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya
dini na Asasi za kiraia.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya
ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam
leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na
Asasi za kiraia.

No comments: