Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua
kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
|
Mjumbe wa Bunge Maalum Dk. Tulie Akson
akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akizungumza
na Mjumbe wa Bunge wa Maalum ambaye pia ni Spika wa Baraza la wawakilishi
Zanzibar, Pandu Ameir Kificho wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo
leo mjini Dodoma.
|
Waziri wa Katiba na Sheria ,Dk. Rose Asha
Migiro akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Januari
Makamba wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
No comments: