Kutoka IKULU:Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Mkoa wa Tanga, Azindua Mradi wa Maji Mkata

Chipukizi
wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni
mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi.

Rais Jakaya Kikwete, akifurahia burudani ya ngoma sa asili.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni jana

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi
baada ya kulizinduahuko Mkata wilayni Handeni Mkoa wa Tanga Jana
asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kuagua na
kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na IKULU
No comments: