Wajumbe wakipiga kura
Aliekuwa
Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh.
Samuel Sitta akishukuru kwa furaha muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya
mpinzani
wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita.
Akitoa Neno la Shukrani mara baada ya kupata nafasi hiyo,Mh. Sitta
amewashurukuru Wajumbe wote wa Bunge la Katiba kwa kuweza kumpa nafasi
hiyo
adhimu.Pia amempongeza mpinzani wake, Mh. Hashim Rungwe kwa kukubali
matokeo
hayo.
Picha Juu ni
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimpongeza Mhe. Sitta kwa ushindi wake wa kishindo
Mwenyekiti
wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba mteule Mhe Samwel John Sitta akitoa
neno la shukurani kwa Wajumbe kwa imani waliyoonesha kwake kwa
kumchagua kwa kura nyingi kushika nafasi hiyo. Picha zote na Deusdedit
Moshi, Dodoma.

Katibu
wa Bunge Thomas Kashilila akiongea na waandishi wa habari(hawapo
pichani)kuhusu kukamilika kwa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti
wa Bunge Maalum wa Katiba Ofisi Kwake Mjini Dodoma Leo.
No comments: