Ads Top

Kampeni za Chadema Chalinze:Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze Kupitia Chadema Mathayo Torongey Aendelea na Kampeni Za Nguvu

 Katibu wa CCM Kata ya Kimange Bwana Haji aliondoka CCM na kujiunga na CHADEMA huku akikabidhiwa kadi yake na Makamu Mkiti Said Issa Mohamed.

 Makamanda wakiwa wamekwama kupita kwenye barabara wakielekea kwenye kampeni za Ubunge Jimboni Chalinze.
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimb la Chalinze Ndugu Mathayo Torongey akibadilishana mawazo na wanakijiji Jimboni Chalinze.Picha Zote na Chadema

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.