Ads Top

Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Alipopokea Ripoti ya Hesabu Za Serikali IKULU Jijini Dar es Salaam

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh baada ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam juzi 
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa  Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam juzi
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh baada  ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam juzi
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza akimsikiliza kwa makini Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh baada ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.