KUTOKA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE PETER MSIGWA KUTOKA CHADEMA WAREJEA CCM ,WAMPA TANO KABATI
Baadhi ya nyaraka za Chadema na kadi
Katibu
wa CCM mkoa akiangalia nyaraka ya siri ya kuhujumu uchaguzi mkuu
iliyotolewa na Chadema taifa ambayo imekabidhiwa kwake na aliyekuwa
katibu kata wa Chadema kata ya Ruaha
Mbunge Ritta Kabati akisalimia
na maofisa wa polisi waliofika kulinda usalama katika mkutano huo
Diwani wa kata ya Mtwivila Vitus Mushi akisaliama na wadau leo
Makada wa Chadema waliojiunga na CCM Iringa mjini wakila kiapo
viongozi wa Chadema waliohamia CCM leo katika mkutano wa CCM kuimarisha chama uliofanyika mtaa wa Kwa mwagongo
No comments: