RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa
Uholanzi hapa nchini Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Uholanzi hapa nchini Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri wa
Afrika Mashariki kutoka Nchini Burundi Bi Leontine Nzeyimana ambaye pia
ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkururinza. Waziri huyo
alifika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo na Rais
pamoja na kumueleza hali halisi ya nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa
India hapa nchini Sandeep Arya aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa
Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa
Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Zambia hapa nchini Judith Kangoma Kapijimpanga Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Jaji Mkuu
Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Jaji Mkuu
Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
Tanzanian Shilling Converter
No comments: