Ads Top

TANZIA: MSANI WA MUDA MREFU WA MUZIKI WA BONGO FLAVA NCHINI TANZANIA JOHN WOKA AMEFARIKI DUNIA

 
R.I.P John woka
katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa kalazwa kwaajili ya matibabu.
Kwa mujibu wa kaka wa marehemu Omari Milay ni kwamba Marehemu Michael Denis a.k.a Joni Woka alipata ajali ya kugongwa na kitu kizito kwenye paji la uso, alipokuwa garage maeneo ya Sinza akitengeneza gari yake, kwa bahati mbaya mtungi wa gesi ukalipuka.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.