Ads Top

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI, JOACHIM CHISSANO NA KATIBU MKUU WA SADC, DK. THOMAS SALOMAO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano (wa pili kushoto) pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini mwa Afrika (SADC) Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.