Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira
(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini-CHADEMA Godbless Lema.
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai-Chadema Freeman
Mbowe(kulia) Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema na Vicent
Nyerere Mbunge Musoma Mjini-CHADEMA
Waheshimiwa Wabunge Kutoka Kulia ni Mwingulu Nchemba (Singida-CCM)-kulia, Joseph Selasini (Rombo-CHADEMA),a
Mosses Machali (NCCR-Mageuzi- Kigoma mjini) katika viwanja vya bunge.
Baadhi wa wabunge wakielekea katika ukumbi wa mkutano Bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene akijibu hoja mbalimbali za wizara yake
No comments: