Ratiba ya mashindano ya kandanda ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2013 nchini Afrika Kusini. Tarehe 19 Januari hadi 10 Februar
Matokeo ya mechi za kundi A
19/01/2013 Afrika Kusini 0 Cape Verde 0
19/01/2013 Angola 0 Morocco 0
________________________________________
23/01/13:
Afrika Kusini 2 Angola 0
Morocco 1 Cape Verde 1
27/01/13:
Afrika Kusini 2 Morocco 2
Cape Verde 2 Angola 1
*Afrika Kusini na Cape Verde zimefuzu kwa robo fainali.
Msimamo kundi B
Timu | Imecheza | Imeshinda | sare | Imeshindwa | Pointi |
Ghana | 2 | 1 | 1 | 0 | 4 |
Mali | 2 | 1 | 0 | 0 | 3 |
DR Congo | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
Niger | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 |
Matokeo ya mechi za kundi B
20/01/2013 Ghana 2 DRC 2
20/01/2013 Mali 1 Niger 0
_________________________________________________________
24/01/13:
Ghana 0 Mali 0
Niger 0 DR Congo 0
28/01/13:
Ghana dhidi ya Niger (Saa Mbili za Usiku)
DR Congo dhidi ya Mali (Saa Mbili za Usiku)
________________________________________________________
Msimamo wa Kundi C
Timu | Imecheza | Imeshinda | Imetoka sare | Imeshindwa | Pointi |
B.Faso | 2 | 1 | 1 | 0 | 4 |
Nigeria | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
Zambia | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
Ethiopia | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 |
Matokeo 21/01/13:
Zambia 1 Ethiopia 1
Nigeria 1 Burkina Faso 1
25/01/13:
Zambia 1 Nigeria 1
Burkina Faso 4 Ethiopia 0
29/01/13:
- Zambia dhidi ya Burkina Faso (Saa Mbili za Usiku)
- Ethiopia dhidi ya Nigeria (Saa Mbili za Usiku)
Msimamo wa Kundi D
Timu | Imecheza | Imeshinda | Sare | Imeshindwa | Pointi |
I.Coast | 2 | 2 | 0 | 0 | 6 |
Togo | 2 | 1 | 0 | 1 | 3 |
Tunisia | 2 | 1 | 0 | 1 | 3 |
Algeria | 2 | 0 | 0 | 2 | 0 |
_________________________________________________________
Matokeo 22/01/13:
- Ivory Coast 2 Togo 1
- Tunisia 1 Algeria 0
26/01/13:
Ivory Coast 3 Tunisia 0
Algeria 0 Togo 2
30/01/13:
- Ivory Coast dhidi ya Algeria (Saa Mbili za Usiku)
- Togo dhidi ya Tunisia (Saa Mbili za Usiku)
*Ivory Coast imefuzu kwa robo fainali
Quarter-finals
02/02/13:
- Mshindi wa kundi B kupambana na timu ya pili kundi A (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
- Mshindi wa kundi A kumbana na timu ya pili kundi B (Saa tatu na nusu za Usiku)
03/02/13:
Mshindi wa kundi D dhidi ya timu ya pili kundi C (Saa Kumi na mbili jioni)
Mshindi wa kundi C dhidi ya timu ya pili kundi D ( (Saa tatu na nusu za Usiku)
Semi-finals
06/02/13:
Mshindi wa robo fainali ya pili dhidi ya mshindi wa robo fainali ya tatu saa (Saa Mbili za Usiku)
Mshindi wa robo fainali ya nne dhidi ya mshindi wa robo fainali ya kwanza (Saa tatu na nusu za Usiku)
Third place play-off
09/02/13:
Timu itakayoshindwa katika mechi ya nusu fainali (Saa tatu Usiku)
Final
10/02/13:
Washindi wa mechi ya nusu fainali (Saa Tatu za Usiku)
No comments: