Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdalla Kigoda (kulia)
akibadilishana mawazo na Naibu Wazri wa afya na Ustawi wa Jamii Dkt
Seif Rashid katika viwanja vya Bunge leo baada ya kuahirishwa mkutano
wa kumi, kikao cha sita
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akiongea na John
Mnyika (Ubungo) katika viwanja vya Bunge leo, baada ya hoja yake
binafsi kukataliwa Bungeni,
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela (kushoto)
akiongea na William Ngeleja (Sengerema)katika viwanja vya Bunge baada ya
Spika wa Bunge Anne Makinda (hayupo pichani) kuahirisha kikao hadi
kesho,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(TAMISEMI) Hawa Ghasia
(kushoto) akimsikiliza Mhandisi Stella Manyanya (Viti maalumu) kuhusu
yaliojiri Bungeni leo.
Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kushoto)pamoja na
Said Arfi (Mpanda Mjini)wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni leo
No comments: