Washukiwa wa M23 wakamatwa Afrika Kusini
Polisi nchini Afrika Kusini
wamewakamata watu wanaoaminika kuwa washukiwa wa kundi la waasi wa M23
wanaoendeshea harakati zao katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Polisi wanasema kuwa wamewazuilia katika mkoa wa Lompopo Kaskazini mwa nchi.
Inaarifiwa walikamatwa na polisi wa kupambana na ugaidi baada ya kupokea habari katika operesheini iliyofanywa kwa miezi kadhaa.
No comments: