TUME YA KATIBA: WARATIBU WA MIKOA WAKITATHMINI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA
Mratibu
wa Mkoa wa Shinyanga katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa
Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Godfrey Kajia akizungumza katika kikao cha
tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko
ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo
jumamosi (April 27, 2013).
Mratibu
wa Mkoa wa Ruvuma katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza
ya Katiba ya Wilaya, Christina Kumwenda akizungumza katika kikao cha
tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya
Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo
jumamosi (April 27, 2013).
Mratibu
wa Mkoa wa Pwani katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza
ya Katiba ya Wilaya, Mohamed Magati akizungumza katika kikao cha
tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya
Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo
jumamosi (April 27, 2013).
Waratibu
wa mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya
katika mikoa 30 ya Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Mkuu wa
Kitengo cha Uratibu katika Tume, Joseph Ndunguru (wa pili kulia, mstari
wa mbele) mara baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika katika
ofisi za Tume Jijini Da re s Salaam leo (Jumamosi April 27, 2013).Picha na Tume ya Katiba
No comments: