Ads Top

Maonyesho ya Ndege Za Kijeshi Za Vita Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)Zikionyesha Mbwembwe Zake Kwenye Sherehe za Miaka 49 Ya Muungano

  Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam leo Zenye rangi ya njano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo na zingine za kijivu ni za kivita. Picha na Issa Michuzi

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.