Waziri Mkuu Mizengo Pinda Apokea Shilingi Milioni Kumi Kwa Ajili ya Rambirambi Kutokana na Ajali Ya Kuanguka Kwa Jengo la Ghorofa 16 jijini Dar es Salaam Tarehe

Waziri
Mkuu Mh Mizengo Pinda jana amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya
rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini
dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni
Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya
China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian
akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi
ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu
Magogoni Dar es salaam
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa
katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa
wengine mara baada ya kupoke msaada wa fedha hizo.

Tanzanian Shilling Converter
No comments: