BEAKING NEWS: Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair afariki dunia
Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair.
Albert Mangwair a.k.a Mimi
a.k.a Ngwair alikuwa msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani Dodoma.
Mwaka 2003 Ngwair alikutana na mtayarishaji mahiri wa muziki P Funk
Majani na kuanza kufanya naye kazi ambapo alitoa kibao cha kwanza
kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo iliyompatia umaarufu mkubwa. Mangwair
pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop
Bora wa mwaka 2005. Mwaka wa 2007 akatoka kwa wimbo wa Kimyakimya akiwa
na Wana Chemba…Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.
No comments: