Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa azindua kitabu cha Mtikisiko wa Uchumi
Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto), akizindua kitabu kipya
kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho
'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam LEO.
Katikati ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni iliyochapisha kitabu hicho ya Matokeo Publishers
&Printers, Rosemary Sokile.
Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akizindua kitabu kipya
kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho
'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam jana. Kulia
ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mchapishaji, Dk. Charles
Sokile.
Dk. Ngowi akisaini moja ya vitabu vilivyonunuliwa jana. Kushoto ni Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu.
Baadhi ya wadau waloshiriki kwenye uzinduzi huo.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
No comments: